Mchezaji Tenisi kutoka Uswisi,Stan Wawrinka,31,alimshinda,Novak Djokovic,ambaye ni namba moja kwa ubora duniani kwa seti 6-7 (1-7), 6-4, 7-5, 6-3, na kuchukua ubingwa wa michuano ya US Open kwa mara ya kwanza.
Wawrinka alishinda jumla ya Grand slam 3 ya Australian Open mwaka 2014 na French Open mwaka 2015.

Post a Comment

 
Top