Diamond Platnumz amemtambulisha msanii Mpya wa WCB Wasafi leo 22 May 2017, msanii huyu anaitwa #LavaLava.
Msanii huyu aliwahi kupata umaarufu #YouTube baada ya kufanya Cover la wimbo wa #Utanipenda wa Diamond Platnumz.
Msanii huyu tayari ametoa imbo mpya Unapatikana Www.Wasafi.Com , wimbo unaitwa #Tuachane umetayarishwa na Lizer Classic.
Post a Comment