Baada ya kumrudisha tena katika usimamizi wake, Max afunguka kuwa Young Dee ni 'Paka' naye Gentriez afunguka sababu ya Hanscana kukimbia Wanene.

Boss wa young Dee max amesema young Dee ni paka rapa maana no msanii mtulivu na mstarabu Kama paka ila pia ukimzingua anakurarua Kama paka HVO anamfananisha young Dee na paka pia amesema tutegemee Kazi Kali kutoka kwa msanii huyo soon.source EATV

Post a Comment

 
Top