Wafungaji bora wa Ligi Kuu ya Bara waliowahi kutokea tangu mwaka 2004 ni
Abubakar Mkangwa (Mtibwa Sugar) mabao 16;
2005, Isse Abshir (Simba) mabao 19;
2006 Abdallah Juma (Mtibwa Sugar) mabao 20;
2007-08 Michael Katende (Kagera) mabao 11;
2008-09 Boniface Ambani (Yanga) mabao 18, 2009-10 Mussa Mgosi (Simba) mabao 18;
2010/11 Mrisho Ngassa (Azam) mabao 18,
2011/12 John Bocco (Azam) mabao 19, 2012/13; Kipre Tchetche (Azam) mabao 17;
2013/14 Amiss Tambwe (Simba) mabao 19; 2014/15 Simon Msuva (Yanga) mabao 17,
2015/16 Amis Tambwe (Yanga) mabao 21; 2016/17 Simon Msuva (Yanga) Na Abdulraham Mussa, mabao 14.
Post a Comment