Pazia La Ligi kuu limefungwa rasmi leo huku Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu
Jumla ya mechi nane zilipigwa viwanja tofauti nchini na mechi zote zilianza mda mmoja
Simba wakicheza katika Uwanja wa Taifa waliibuka na ushindi wa bao 2-1 magoli ya Simba yakifungwa na Shiza Kichuya kwa penati na Ibrahim Ajib
Huku tukishudia Jkt Ruvu, African Lyon, na Toto African zikishuka mpaka daraja la kwanza
Matokeo mengine ya Lig kuu.
Mbao FC 1-0 Young Africans
Simba SC 2-1 Mwadui FC
Azam FC 0-1 Kagera Sugar
Mtibwa Sugar 3-1 Toto Africans
Majimaji FC 2-1 Mbeya City
Stand United 2-1 Ruvu Shooting
Ndanda FC 2-0 Jkt Ruvu
Tanzania Prisons 0-0 African Lyon
Post a Comment