Picha hizi zinaonyesha watu wa dini ya Kiislamu wakisherehekea tamasha la siku tatu la Eid al-Adha nchini Afghanistan.
Ingawa mashambulizi kadhaa ya bomu yametokea katika mji mkuu wa Kabul kupitia wiki mbili zilizopita na kuzorota kwa hali ya usalama waumini hao hawajaathiriwa na hali hiyo na bado wanasherehekea sikukuu
Post a Comment