Miongoni mwa mambo yanayovutia zaidi kwa sasa mitandaoni ni mahusiano ya watu maarufu bongo na hivi karibuni msanii wa bongo fleva Linah Sanga amehusishwa kimapenzi na Ex wa Wema Sepetu ‘Idris Sultan’ ambaye pia ni mtangazaji wa radio ‘Choice Fm’.
Kupitia Instagram ya Linah pamekuwa na post mbili za picha za Idris na moja wapo ilikuwa na ujumbe huu mzito “Kama Mungu alitupenda sote! Why na sisi tusipendane??? ???????????????? #rahajipemwenyewe babuuu, nafanya nachojisikia na siyo unachojisikia, simuogopi yoyote zaidi ya Mungu tu, KIJANI HAITAWEZA KUWA NYEKUNDU hata iweje”
Post a Comment