Hivi punde mkoa wa kagera na mwanza imekumbwa na tetemeko la ardhi kubwa ambao limesababisha maafa makubwa kwa wananchi hususani mkoa kagera ambapo watu wamejeruhiwa na wengi kukosa makazi baada ya nyumba zao kubomoka.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi
Source:itv
Home
»
»Unlabelled
» BREAKING NEWS:TETEMEKO LA ARDHI LAITINGISHA KAGERA NA MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment