Rais wa zamani wa Israel Shimon Peres,93, aliugua kiharusi siku ya Jumanne (Jana) jioni na akakimbizwa hospitalini,ofisi ya Peres ilitoa taarifa.
Rais wa tisa wa Israel alikimbizwa hospitali iliyopo nje kidogo ya mji mkuu wa Tel Aviv na taarifa hio ilisema kuwa hali yake imekuwa sawa na anapokea matibabu.

Post a Comment

 
Top