Mgombea urais wa Marekani wa chama cha Democratic, Hillary Clinton, amesema amepata nafuu tangu alipoanguka wakati wa kumbukumbu ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001 mjini New York, Clinton alisema haya katika mahojiano aliyofanyiwa na kituo cha televisheni cha CNN. Kwa upande mwingine, mgombea urais wa Marekani wa chama cha Republican, Donald Trump pia anatarajiwa kutangaza hadharani taarifa ya daktari kuhusu hali yake ya afya katika siku zijazo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment