NGOMA INAZIDI KUNOGA SASA NI NAIBU KATIBU MKUU BARA.
Magdalena Sakaya

"SAKAYA Cuf ni TAASISI si KAMPUNI, Cuf sikuletwa na mtu, Cuf si Maisha yangu, Cuf hawaninyimi pumzi watafukuza wengi kama hawataki kufuata katiba.

Sio siri mimi Naibu katibu mkuu wajumbe Feki walioingizwa Kwa usimamizi wa Katibu mkuu.

Cuf kuna mgogoro ambao Katibu anatumia kila njia wanachama wasiujue hataki kabisa usemwe wazi.

Prof Lipumba ni kipenzi cha watu kulazimisha kumuondoa kwa hoja za ujanja ujanja ni kukiweka chama katika hali tete sana,

Cuf kuna mpasuko mkubwa ambao hauzungumzi ukaeleweka.

Kuna SIRI NZITO na mambo ya Ajabu sana nashangaa kwanini Katibu mkuu wangu anashindwa kukubali kumaliza mgogoro huu kwa amani au kuweka wazi jamii ijue.

Ni kusoma tu alama za nyakati watanzania bara sasa wameamka kuendelea kuwaburuza ni kujidanganya.

Niko tayari kwa maamuzi yoyote ya kunifukuza lakini sitabadili msimamo wangu wa kuhitaji katiba ifuate.

Maamuzi ya kukubali kujiuzulu Prof Lipumba au la! ba do hayajafanyika lazima mkutano mkuu ukutane na uamue kuhusu barua ya kujiuzulu sabamba na ya kutengua."

SAKAYA (mb)

#NaBado David maphone katika ubora wake miaka 800

Post a Comment

 
Top