Vyama vinne vya siasa vya upinzani nchini ambavyo vilikuwa vimesusia vikao vya Bunge vilivyokuwa vikisimamiwa na Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, vimekubali kurejea bungeni katika mkutano ujao wa bunge.akiongea na vyombo vya habar mbunge wa vunjo mbatia amesema vyama vyote vinne vimeridhia ushauri wa kurudi mbungeni ili kutatua matatizo yao na serikali pia amesema wamekubali ushauri wa viongozi wa dini na kusisitiza wanawaheshimu xana viongoz wa dini na watapokea ushauri wao muda wowote
Home
»
»Unlabelled
» UKAWA KUREJEA BUNGENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment