SIMBA SPORTS CLUB wamedhihirisha kwamba wao ni wa kimataifa baada ya kuwatandika ndanda fc ya mtwara  goli 3-1 ambayo goli za  simba ziliwekwa nyavuni na mchezaji machachari wa kigeni mavugo alipachikia timu yake goli la kwanza na pili na  akatimiza idadi kichuya,kwa "simba hii  ya sasa ni ya kimataifa na timu nnyingine wajipange"alisema shabiki wa simba

Post a Comment

 
Top