Majogoo wa jiji la London wamekula kipigo cha goli mbili kutoka kwa Burnley ambao walionekana kutawala mchezo wa leo hali iliyowafanya majogoo wa London kushindwa kutamba mbele ya Burnley,wafungaji akiwa ni gray na vokes dk ya 2 na 42

Post a Comment

 
Top