Wakati Yanga wakiwa kambini mjini morogoro wakijiandaa na mchezo wao muhimu wa ligi kuu dhidi ya mtani wao Simba utakaofanyika tarehe 29/4/...
YANGA KUWAKOSA NYOTA WAKE WANNE IKIWAVAA YA WELAYTA DICHA JUMAMOSI HII
Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga itawakosa wachezaji wake kadhaa. Yanga itakuwa nyu...
MAZEMBE WAMEANZA HARAKATI ZA KUMSAJILI SHIZA KICHUYA.
Taarifa zinaeleza kuwa Uongozi wa klabu ya TP Mazembe inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo umeanza harakati za kumuwania nyota wa Simba, Shiza...
Droo ya robo fainali UEFA Champions League
Droo ya robo fainali UEFA Champions League Barcelona v Roma Sevilla v Bayern Munich Juventus v Real Madrid Liverpool v Manchester City ...
Draw ya Uefa Champions league sasa IPO wazi
Draw ya Uefa Champions league sasa IPO wazi Ratiba ya Uefa Champions league imetangazwa Leo hii na kikubwa zaidi ni marudio ya Fainali ya ...
Kocha Gendermarie ashangaa kufungwa Nne na simba
KOCHA Mkuu wa Timu ya Gendermerie Nationale, Mvuyekure Issa ameshangaa kufungwa mabao manne tu na Simba SC jioni ya leo kwenye uwanja wa Ta...
Lwandimina hajipa moyo baada ya mechi ya jana
Kocha wa Yanga, George Lwandamina amekubali kuwa kikosi chake hakikucheza vizuri kama walivyotarahia dhidi ya St Louis ya Shelisheli. Yang...
Ndemla kubaki msimbaz asaini kandarasi mpya
Kiungo wa Simba, Said Ndemla, sasa anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwepo Msimbazi huku ikielezwa lile dili la kwenda kucheza ...