Anaitwa Fernando Bongnyang mashabiki hupenda kumwita ‘lucky 15’. Bongnyang, amepata kuwa nahodha wa cameroon pia mchezaji tegemeo wa moja ya vigogo wa chini cameroon , Coton Sport.

Akiwa na kilo 80 na urefu wa 1.85m Bongnyang anamudu nafasi ya kiungo mkabaji, beki wa kati na mshambuliaji. Yupo Yanga SC kama free agent akijaribu bahati yake ya kusajiliwa (anafanya majaribio) , mchezaji huyo mwili jumba alizaliwa alhamisi ya tarehe 27 .10. 1988.

Post a Comment

 
Top