Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17 'Serengeti Boys'imeendelea Kung'ara katika michuano ya kimataifa, Serengeti Boys waimebuka na ushindi wa 1-0 dhidi Timu ya Taifa ya Vijana ya Cameroon katika mchezo wa kirafiki ambao umefanyika Jumapili, Yaounde, Cameroon. 

 Bao pekee la mchezo huo likifungwa na mchezaji Ally Ganzi wa Serengeti Boy .

 Serengeti Boys ambao wamepiga kambi ya wiki moja Yaounde, Cameroon ,kwa ajili ya kujiandaa kwa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya Umri wa Miaka 17 ,wanatarajiwa kucheza mchezo wa marudiano Mei 03 mwaka huu. 

 Kufanya vizuri 

Serengeti Boys ni mojawapo ya timu ambazo zimepewa nafasi ya kufanya vizuri katika Michuano ya Fainali hiyo itakayoanza kutifua vumbi Mei 15 mwaka huu Nchini Gabon. 

 Makundi 

Serengeti Boys wamepangwa kundi B pamoja na Angola, Ethiopia na Niger. Wakati kundi A ikijumuisha Wenyeji Gabon,

Post a Comment

 
Top