Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva amesema timu yao itatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, kutokana na uimara wa kikosi chake
Aveva amesema wamejipanga kuhakikisha wanaliwezesha kila kinachohitajika benchi lao ili kuhakikisha wanatimiza malengo yao.
"Tumeanza vizuri na ninaamini tutamaliza vizuri kwa kuwa mabingwa tunataka kuboresha benchi letu la ufundi kwa kutimiza kila cha muhimu kinachohitajika," amesema Evans.

Post a Comment

 
Top