Ranieri64 amekubali kuendelea kujikita king power atavuna £3m kwa mwaka⚽
⚽
Aseno kwa Bony wamtengea £30m,wao n kuchukua flop player tu
C.Palace £32m kwa Benteke⚽
UTD wapo kwenye radar za Kumuweka Bastian 32 kabla ya deadline,UTD IPO teyar kumbakiza MATA 28 n Januzaj21yrs kutolewa kwa mkopo⚽
Bluz baada ya kuona uwezekano wa Kalidou 25, umefeli wahamia kwa Msweden CB victor 22 anakipiga Benfica⚽
Sunderland wanamtaka McNair 21yrs⚽& pia Naismith 29
Bale hakuwa Norway Jana R.Madrid wakishinda UEFA super cup ,lkn alikuwa akiwafuatilia kupitia KIDEONI⚽
Morata alifurahia n wenzake selfie ktk dressing room⚽
Pogba n Lingard n mwendo wa selfie tu instagram⚽
K.P Boa10 anawasha moto Las palmas la liga⚽
Zidane amsifia Asensio kwamba alifanya maamuz mazur kubak Bernabeu kwa mcm mwngne,coz kiwango cha Jana n xhda dhd ya Sevilla⚽
*Baada ya kuweka rekodi ya dunia ktk uhamixho POGBA xx akili yke n kushinda Ballon d'or akiwa old Trafford*⚽linawezekana hata mm naamin
CTY mpk xx kutumia £161.59m⚽
& UTD 157.25m⚽
*hela itarud tu,vitu vizur vina hitaji gharama*⚽
Post a Comment