Kwa mujibu wa  muigizaji van diesel na mwenzake the rock ni kwamba kwasasa movie hyo ya fast 8 and furious ishakamilika kinachofanyika kwasasa ni editing ya vipengele mbalimbali hvo itatoka hivi karibu na watazamaji  na wapenz wa movie mkae mkao wa kula maana ni bonge la picha lilopikika kwa  ubora zaidi,na kama unakumbuka tulipoteza  actor machachari paul walker ambaye nafasi yake kwasasa  yupo jason steham.
Stay tune

Post a Comment

 
Top