Baada ya mkali wa rnb Belle 9 kuonekana kwneye studio za WCB wasafi wakati wa kipindi cha planet bongo, pamekuwa na tetesi kuwa staa huyu anataka kujiunga na WCB.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Bugger Movie Selfie’ ameonekana akifanya mazoezi ya bendi ya Diamond katika ofisi za WCB.
Kwa mujibu wa kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Belle pamoja na Diamond wameonekana wakiimba wimbo ‘Mdogo Mdogo’ kwa pamoja huku wakicheza.
Post a Comment