Ukitaka kujuwa Antonio Conte ni fundi basi
check GAME SET UP yake, mwanzo aliingia na
4-1-4-1 Badae akabadilisha ikawa 4-3-3 Ndani
ya first half. Second half alianza kwa 4-4-2 na
mwisho kabisa wakati anasaka ushindi
alimalizia na 4-2-4.
akawaingiza Moses na Pedro Rodriguez
wacheze kama wide men, huku Michy
Batshuayi pamoja na Diego Costa wakiwa mbele
yao.

Post a Comment

 
Top