Salaam.
Wito wa dharura. Leo Jumapili Julai 2, 2017 saa 7.30 mchana kutakuwa na mkutano na wanahabari katika Ukumbi wa TFF, Karume Ilala jijini Dar es Salaam. Nachukua nafasi kuwakaribisha wanahabari wote. NAOMBA RADHI KWA WITO WA GHAFLA.
Alfred Lucas
...........................
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF.
Post a Comment