Wafungaji bora wa Ligi Kuu ya Bara waliowahi kutokea tangu mwaka 2004 ni
Abubakar Mkangwa (Mtibwa Sugar) mabao 16;

2005, Isse Abshir (Simba) mabao 19;
2006 Abdallah Juma (Mtibwa Sugar) mabao 20;

2007-08 Michael Katende (Kagera) mabao 11;

2008-09 Boniface Ambani (Yanga) mabao 18, 2009-10 Mussa Mgosi (Simba) mabao 18;

2010/11 Mrisho Ngassa (Azam) mabao 18,

2011/12 John Bocco  (Azam) mabao 19, 2012/13; Kipre Tchetche (Azam) mabao 17;

2013/14 Amiss Tambwe (Simba) mabao 19; 2014/15 Simon Msuva  (Yanga) mabao 17,

2015/16 Amis Tambwe (Yanga) mabao 21; 2016/17 Simon Msuva (Yanga) Na Abdulraham Mussa, mabao 14.

10 Jul 2017

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top