Mshambuliaji mpya wa Simba, John Bocco ameongezwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Bocco amejumuishwa katika kikosi hicho kufuatia kuumia kwa mshambuliaji Mbaraka Yusuph ambaye amekosa mechi mbili zilizopita za Taifa Stars dhidi ya Mauritius na Afrika Kusini. Tayari Bocco ameshajiunga na kambi ya Taifa Stars nchini Afrika Kusini .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment