*Mohammed sarah amejiunga na klabu ya liverpool akitokea As roma kwa ada ya €35ml amesaini mkataba wa miaka 5 na amepewa jazz no 11.
*Manchester united imefikia makubaliano na monaco kwa ajili ya usajiri wa fabinho kwa paund mi 45.
*Mshambuliaji wa chelsea Diego costa hatokuwa tayari kuondoka stamford bridge isipokuwa tu kamakutakuwa na uwezekano wa kurudi Atletico madrid.
Post a Comment