Baada ya kusema WCB haina tatizo na Harmonize kufungua studio yake, rais wa Wasafi Diamond Platnumz ameongelea msanii mwingine wa lebo hio kuwa na studio yake binafsi….
Diamond anasema “Kitu kingine ambacho watu hawakijui ni kuwa Rayvanny anafungua studio yake na produce wake atakuwa Rash Don“
Post a Comment