Inasemekana eti Kichuya amepiga chini ofa ya mkataba mpya wa kuitumikia Simba kwasababu amepokea ofa ya kutoka katika moja ya vilabu vikubwa vya nchini Misri (Ittihad Alexandria/ Al Masry) - Kiasi cha fedha cha ada ya usajili kinatajwa kuwa  $80,000 - sawa na zaidi ya millioni 170.
Kichuya anatarajiwa kumaliza mkataba wake na Simba mwishoni mwa msimu, na endapo hatosaini mkataba mpya basi ataondoka bure wakati ligi itakapomalizika.

Post a Comment

 
Top