Beki machachari wa kulia wa Yanga sc Juma Abdul 'Mnyamani' ataukosa mchezo wa ligi kuu Vodacom jumamosi hii dhidi ya Singida United,kupisha kadi 3 za manjano alizopata Kwenye michezo iliyopita huku, Ibrahim Ajib, Kelvin Yondani na Raphael Daud wakiendelea kuwa sehemu ya Kikosi licha ya kuwa na kadi mbili za manjano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment