Baada ya siku za hivi karibuni Staa wa Hollywood Rick Ross kumpost Diamond Platnumz baada ya kupewa ubalozi wa kinywaji cha Belaire, jana producer na DJ wa Marekani ajulikanaye kama DJ Khaled pia amempost Diamond Platnumz jambo ambalo linaleta maswali kwamba huenda wawili hao wanaweza kufanya kazi pamoja hivi karibuni.Tusubir kuona bonge LA kaz kama bahati itakuwa upande platinum
Home
»
»Unlabelled
» Dj khaleed naye ampa shavu Diamond platinum
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment