Maker wa nyimbo kama Raha, Ligi Ndogo na Mazoea, Billnass amesanuka kuhusu Ukubwa wa Colabo ya Diamond Platnumz na Rick Ross, Billnass amefananisha colabo hii na colabo zingine zilizotingisha Africa kama colabo ya Diamond Ft Davido, Joh Makini Ft AKA, Ay Ft Sean Kingston na pia ameendelea kusema collabo hii itampa sana Diamond faida kuliko hasara
Maana atakutana na maproducer wapya na management mpya Rick rose
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment