Klabu ya yanga inazidi kukumbwa na masahibu mazito baada ya mwenyekiti wake yusuph manji
Kusota lupango kwa muda mrefu
Sasa ni kunadiwa kwa jengo la yanga mitaa ya jangwani
Akiongea leo dalali wa mahakama ni kwamba jengo hilo jengo lilitakiwa kunadiwa leo ya agosti 17 ila imeshindikana kutoka na sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Akitoa sababu za kunadiwa jengo hilo ni kushindwa kulilipia jengo hilo kodi ya ardhi toka mwaka 1996 ambapo mpaka sasa yanga wanadaiwa millioni 360 ambazo bado hazijalipwa.
Mpaka tunaingia mtamboni hatujajua yanga kama watalipa ama la,hivo kushindwa kulipa kwao kutapelekea kupigwa mnada jengo hilo
Kaa nasi tutakujuza yatakayojili
Post a Comment