Kunako usajili
-Imedaiwa beki wa Southompton, Van Djik kaiambia Liverpool yenyewe ndo kipaumbele chake.

-Barcelona yahusishwa kumhitaji Ousmane Dembele toka Dortmund.

-Pepe athibitisha anajiandaa kutimka zake Real Madrid.

-Yaya Sanogo nae aweka wazi yuko mbioni kutimka Arsenal.

-imedaiwa Real Madrid imeandaa pauni milion 135 kwa Kylian Mbappe, taarifa zaid zimedai James atauzwa ili kufikia dau hilo.

-yaendelea kudaiwa Mohamed Salah anakaribia Liverpool, taarifa zaidi zimedai huenda mambo yote yakamalizika wiki hii.

-Sevilla yadaiwa kumhitaji Nolito wa Man City kwa mkopo.

-Joe Hart wa Man City, Handanovic wa Inter Milan na Donnaruma wa AC Milan wadaiwa kuwa kwenye list ya wataomrithi De gea endapo atatimkia Real Madrid.

-Liverpool nayo yahusishwa na Lacazate.

-Everton yahusishwa na Jamie vardy.

-Xhedan Shaqiri kubaki Zake Stoke City.

-Imedaiwa man utd itakomaa na usajili wa Griezmann mpk Mwisho.

-Imedaiwa Mesut Ozil huenda akarejea Schalke.

-Morata anaongoza chati ya wanaohitajika man utd.

-Alexandre Lacazate asema UEFA ni muhimu ila sio kila kitu.

-imedaiwa Fernando Torres yupo ktk mazungumzo na klab ijulikanayo kama Queretaro ya huko nchini Mexico.

-Arsenal yaiambia Psg msijisumbue Alexis haendi popote.

-kiungo wa Tottenham, Christian Ericksen asema si wachezaji wote huitosa Barca ila atakaa Spurs zaid.

5. Tumalize na Vijineno na Povu
-Arda Turan haendi popote asema Wakala wake.

-kuhusu Lindelof na mambo ya usajili Manchester United aulizwe Ed Woodward asema Jose Mourinho.

-Rais wa zaman wa Real Madrid anayefahamika kama Ramon Calderon asema Madrid haiitaj kusajili kwani imetimia. Asema kuwauza James, Morata kutaleta Simanzi Bernabeu.

-Wenger asema Michael Carrick amekuwa akibaniwa sifa anazostahili. Amsifia kwelikweli huku akiweka bayana alisikitika alipomkosa 2004.

-nae mlinda lango wa Juventus Gigi Buffon asema hajakata tamaa ya taji la Uefa kwani angalau bado ana msimu ujao.

Post a Comment

 
Top