#Gossip Miongoni mwa stori kubwa Instagram Tanzania Leo June 4,2017 ni sauti inayosamba mitandaoni inayosemekana ni ya Wema Sepetu akiongea kwenye simu na Mwenyekiti wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh,Freeman Mbowe.
Kwenye #Convo hii Wema anaonekana kukasirishwa na Ubusy wa Mh, Freeman Mbowe, baadae Wema anapewa appoitment ya Nguvu yakwenda Moshi kwaajili ya Good Tyme……
Post a Comment