Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys Bakari Shime, hajafanya mabadilko makubwa katika kikosi kitakachocheza Leo dhidi ya Mali katika Mchezo wa Kundi B la michuano ya Afrika kwenye uwanja Stade de l'Amitié Mjini Libreville, Gabon.
Shime amemuanzisha Tena Mlinda mlango Ramadhan Kabwili ambaye alionesha Kiwango bora katika mchezo wa kwanza dhidi ya Mali, Huku safu ya Ushambuliaji Yohana Mkomola akiendelea kuitawala vyema.
Mchezo huo ambao ni muhimu kwa Tanzania Utaanza majira ya Saa 11:30 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki ambapo Serengeti Boys wanahitajika kushinda ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuingia Nusu fainali ya Michuano hiyo.
Kikosi kamili.
1. Ramadhan Kabwili
2. Kibwana Ally Shomary
3. Nickson Clement Kibabage
4. Dickson Nickson Job
5. Ally Hussen Msengi
6. Enrick Vitalis Nkosi
7. Abdul Hamis suleiman
8. Ally Hamis Ng'anzi
9. Yohana Oscar Mkomola
10. Kelvin Nashon Naftali
11. Assad Juma Ally
Akiba.
1. Samwel Edward Brazio
2. Kelvin Deo Kayengo
3. Israel Patrick Mwenda
4. Syrprian Benedicto Mtesigwa
5. Marco Gerald Mhilu
6. Shabaan Zubery Ada
7. Abdalah Mohamed Rashid
8. Bakari Said Mussa
9. Muhsin Malima Makame
10. Ibrahim Abdallah Ali.
Post a Comment