Uongozi wa Simba umefanikiwa kumuongezea mkataba wa miaka miawili na nusu beki wake Mohamed Husein (Zimbwe jr)
Simba imefanikiwa kushinda vita kubwa na kufanikiwa kumbakisha mlinzi huyo wa kushoto ambae amekuwa na misimu bora kwa miaka yote miwili aloitumikia Simba
Zimbwe amekuwa akigombaniwa na timu nyingi na baadhi ya vyombo kumpigia chapuo kwenda timu wanazozipenda wao mapema leo amesaini kandarasi ya miaka miwili na nusu kuendelea kuitumikia Simba mbele ya Rais wa Klabu hiyo Evance Aveva
Post a Comment