TFF inapenda kuarifu umma kuwa mchezo kati ya Yanga na Ruvu Shooting uliokuwa ufanyike kesho badala yake utafanyika Alhamisi Nov. 10, 2016 saa 10.00 jioni Uwanja Uhuru, Dar.

Wakati huo huo uongozi wa Yanga SC umepinga na kusema kuwa wao hawatambui mabadiliko haya.

Post a Comment

 
Top