Tetesi za soka Tanzania asubuhi hii nimebahatika kupata hizi tetesi kuwa Kipre tchetche huenda akajiunga na timu ya Yanga African katika dirisha dogo la usajili pia Kipre tchetche naye anahusishwa kunyatiwa na klabu ya Simba SC yenye makazi yake mitaa ya kariakoo
Pia Malimi Busungu huenda akatolewa kwa mkopo kwenda Tanzania Prisons ya Mbeya akitokea Yanga SC
Na aliyekua mchezaji wa zamani wa Simba SC Emmanuel Okwi huenda akajiunga tena na Wekundu wa Msimbazi katika dirisha dogo la usajili
Pia beki wa pembeni wa Simba SC Tshabalala zimbwe Jr huenda dirisha dogo la usajili akatimukia mitaa ya jagwani
Na kipa wa timu ya taifa ya Tanzania anayekipiga Azam FC Aishi Manula naye huenda akatimukia mitaa ya Msimbazi katika usajili wa dirisha dogo
Post a Comment