Timu ya Soka ya Simba sc imendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga timu ya Mtibwa sugar kwa goli 1-0 katika mchezo Wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 20.
Goli pekee la mchezo huo lilifungwa na Dadi Mabrouk katika dakika ya 30. Simba sc mpaka mapumziko ilikuwa mbele kwa goli 1-0 , Simba ilifanya mabadiliko kwa kumtoa Ally Abdallah pamoja na nduguru na nafasi zao kuchukuliwa na Rashid Juma na Anthony
Post a Comment