Mkhitaryan aliyesajiliwa kwa paundi za Kingereza 26milioni, kutoka klabu ya Ujerumani Borussia Dertmund, hajafunga goli hata moja tangu ajiunge na klabu yake mpya, Juni mwaka huu.
Man Utd yaipigia magoti Chama cha Soka cha Armenia (FFA)
Mkuu wa Kitengo cha Matibabu (medicene) wa Manchester United, Steve McNally, amesema ameiandikia Chama cha Soka cha Armenia kutomchezesha kiungo wa Manchester United na nahodha wa Armenia, Henrikh Mkhitaryan katika michezo miwili ya kufuzu Kombe la Dunia kati ya Romania na badaye Poland. McNally amedai kuwa Mkhitaryan anaendelea kusumbuliwa na maumivu ya misuli aliyopata dhidi ya mahasimu wao Manchester City mwezi uliopita na kuambulia kipigo cha 2-1.

Post a Comment