Siku ya Jumatatu, maelfu ya wanawake wakiwa wamevalia nguo nyeusi jana, walifanya maandamano makubwa katika maeneo/mitaa mbalimbali nchini Poland kupinga pendekezo (zuio) lililotolewa na serikali la kuzuia utoaji wa mimba (abortions).

Wanawake hao walidai kuwa pendekezo hilo linatishia haki yao ya uzazi (Productive Rights).



Post a Comment

 
Top