Kituo cha Utangazaji/Runinga,cha Ujerumani, DW, kimeanzisha mchakato wa kusaka maoni ya wapiga kura Marekani na hata maoni ya watu wengine nje ya Marekani kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi, na nani anafaa kwenda Ikulu (White House).
"Ni kweli kwamba uchaguzi huo (wa Marekani) unagusa na una umuhimu kwa dunia, kwa sababu, kile kinachotokea Marekani kinaathari nje ya mipaka yake (nchi nyingine)," Mwandishi mmoja wa kituo hicho alisema.
Waandishi wa DW wanauliza wapiga kura wa Marekani (US) na dunia kwa jumala nini mtazamo wao juu ya uchaguzi na masuala kuntu yahusuyo uchumi, sera za nje za marekani, uhamiaji na haki za kijamii (kiraia).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment