Msanii wa mkongwe wa Rap ,Crazy Gk ameamua kugeukia kwenye kuimba badala ya ku rap kama alivyozoeleka na mashabiki zake.
Akiongea kwenye kipindi cha Enewz cha EATV,GK amedai kuwa muziki umebadilika kwa hiyo imempasa na yeye kubadilika na tayari amesharekodi wimbo wake huo na sasa yupo location anafanya video ya wimbo huo.
“Sasa tumekuwa wakubwa na muziki ume change,umekuwa technological na sisi tunaufuata muziki ulipo,unavyo flow tuna flow nao“.Alifunguka Crazy GK
Post a Comment