Timu ya Majimaji ya Songea leo imefanikiwa kubakiza points 3 muhimu nyumbani mara baada ya kuwaadhibu Stand United kwa bao 1 Kwa 0 Goli Likipatikana dakika ya 51 kupitia kwa mchezaji Marcel Boniventure Kaheza.
Ushindi huo unaifanya Maji Maji kufikisha Points 8 na Kutoka nafasi tatu za Chini zaidi kwa wakati Huu wakati mechi nyingine za Raundi ya 9 zikisubiriwa kuchezwa kesho na Kesho Kutwa, Maji Maji wanakwea mpaka nafasi ya 10 kwenye Msimamo toka nafasi ya 14 waliyokuwa awali
Post a Comment