Neymar amekubali dili LA miakaa 5 l na PSG kwa malipo £450million kwa jumla ukijumlisha mshahara na bonasi
Mshahara wake upo hivi
Kwa mwaka: £30,992,000
kwa mwezi: £2,384,000(Tsh billion 5.1)
kwa wiki: £596,000 (Tsh Billion 1.3)
kwa siku £85,142
kwa saa: £3,547 (Tsh 7,800,000)
Post a Comment