Mchezaji mahiri Donald ngoma aliyesaini kandarasi ya miaka miwili yanga ametoa yaliyo msibu mpaka kurejea yanga msimu huu
" Nilifikiria kuondoka Yanga SC na kwenda ligi nyingine hasa ligi kuu Afrika kusini, lakini nafsi ilinisisitiza kuendelea kubaki hapa kwa  kuwa sijaifanyia chochote kikubwa timu yangu hasa kwa msimu uliopita ambao muda mwingi nilikuwa majeruhi na dharula mbalimbali . . Nataka kuifanyia makubwa timu yangu ambayo yataacha alama ya uwepo wangu hapa, tuonane msimu ujao"

- Donald Dombo Ngoma.

Post a Comment

 
Top