Mchezaji mahiri wa simba shiza kichuya jana baada ya kungara katika mechi ya taifa stars na malawi na kufunga goli mbili  ambayo matokeo mpaka dakika za mwisho Tanzania 2 Malawi 0
pia kichuya ndiye mchezaji aliyepata tuzo ya  mchezaji bora wa mchezo huo

Post a Comment

 
Top