Kiungo wa Simba,Jonas Mkude amepata ajali mbaya maeneo ya Mitibora,Dumila mkoani Morogoro akiwa njiani kurejea Dar es Salaam kuiwahi Taifa Stars. Taarifa za awali zinasema ameumia maeneo ya shingoni, amekimbizwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro pamoja na majeruhi wenzie ambao baadhi wana hali mbaya.

Post a Comment

 
Top