Wakazi wa mkoa wa shinyanga wamelitupia lawama jeshi la polisi kwa kufanya mazoezi kwa kuzunguka mitaa mabalimbali ya mji huo hali ambayo imetajwa kuwashtua watu na kuwatia hofu huku wakilitaka jeshi hilo kufanya mazoezi ya vikosi vyake katika maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment