PICHA ZA ZARI HASSAN AU MAMA KIJACHO AKIJIACHIA KATIKA POZI MBALI MBALI
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz
Post a Comment